Makala : Fahamu Kuhusu Ndumba Za Kichawi Na Jinsi Ya Kujikinga Nazo.
FAHAMU KUHUSU NDUMBA ZA KICHAWI NA JINSI YA KUJIKINGA NAZO. Mwandishi : Dokta. Mungwa Kabili….0744 000 473 Nimekuwa nikipokea barua pepe kutoka kwa watu mbalimbali, wakitaka kujua masuala mbalimbali kuhusu ulozi, uchawi na jinsi ya kujikinga dhidi ya uchawi na ulozi. Kwa kuwa muda na nafasi haviniruhusu kumjibu kila mmoja kwa wakati wake, nitayajibu maswali yote hapa bloguni. SWALI : NIMESIKIA KUWA WACHAWI HUWA HAWAFI UPESI.JE KUNA UKWELI WOWOTE KATIKA HILO ? NA KAMA NI UKWELI, JE NI KITU GANI HUWAPA UWEZO WA KUISHI MAISHA MAREFU ? DOKTA. MUNGWA K...
Comments
Post a Comment