Kundi la Navy Kenzo Laula Marekani..Leo Kukiwasha Viwanja vya Posta Kijitonyama Jukwaa Moja na Ali Kiba na Sauti Soul

Kundi la muziki wa kizazi kipya nchini linaloundwa na Aika na Nahreel, Navy Kenzo, limeingia mkataba wa kuwa mabalozi wa Klobaa App ya nchini Marekani.

App hiyo ya simu inatarajiwa kuzinduliwa leo katika tamasha la 'Mwendokasi Festival' litakalofanyika viwanja vya Posta Kijitonyama.

App hiyo ni mara ya kwanza kuingia Afrika na inazinduliwa kwa mara ya kwanza nchini Tanzania.

Navy Kenzo watapamba jukwaani moja na wasanii mbali mbali wa Bongo kama Ali Kiba, Sauti Soul, Christian Bella, Juma Nature, Man Fongo, Nay wa Mitego, Nuh Mziwanda, Mr Blue , Isha Mashauzi, Roma, Quick Rocka, Ruck Beibe na Wengine Wengi ...Usikose kiingilio Buku kumi tu Mlangoni

Comments

Popular posts from this blog

ZINGATIA HAYA UKITAKA KURUDIANA NA MPENZI WAKO WA ZAMANI

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

Waziri Mkuu Ashangazwa Na Kodi Kubwa Soko La Dodoma.....Aagiza Baraza La Madiwani Lipitie Upya Na Kumpa Majibu