WAZIRI KAIRUKI AWASILI MKOANI KAGERA, KUKUTANA NA WATUMISHI WA UMMA
![KAGA](http://fullshangweblog.com/home/wp-content/uploads/2016/08/KAGA.jpg)
Pichani Mhe. Kairuki (kushoto) akipokewa na baadhi ya watendaji Mkoani Kagera, katikati ni Katibu Tawala -Mkoa wa Kagera Bw. Amantius Msole.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki (Mb) akisalimiana na watendaji kwenye uwanja wa ndege wa Bukoba ambapo anatarajiwa kukutana na Watumishi wa Umma mkoani Kagera, Jumatatu tarehe 22 Agusti 2016.(P.T)
I see you.
ReplyDelete