TRUMP AONGEZA BAJETI YA JESHI KWA KIASI CHA DOLA BILIONI 54



Trump kuongeza bajeti ya jeshi kwa dola bilioni 54Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTrump kuongeza bajeti ya jeshi kwa dola bilioni 54

Rais wa Marekani Donald Trump amaeahidi kile alichokitaja kuwa nyongeza ya kihistoria kwa bajeti ya jeshi la Marekani.
Maafisa wa ikulu ya White House wanasema kuwa bajeti ya ulinzi nchini Marekani itaongezeka kwa dola bilioni 54, ikiwa ni karibu asilimia 10.
Fedha hizo zitapatikana kwa kupunguza bajeti za programu zisizo za kijeshi, ikiwemo misaada ya kigeni na fedha zinazotumiwa kwa utunzi wa mazingira.
Mipango hiyo itawasilishwa kwa bunge la Congress mwezi ujao.
Wakati huo huo idara ya ulinzi imewasilisha kwa White House, mipango ya kulishinda kundi la Islamic State ambayo Rais Trump alikuwa ameitaka idara hiyo kuishughulikia.


Marekana inatumia fedha nyingi zaidi kwa ulinzi kuliko nchi yoyoteHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionMarekana inatumia fedha nyingi zaidi kwa ulinzi kuliko nchi yoyote

Comments

Popular posts from this blog

ZINGATIA HAYA UKITAKA KURUDIANA NA MPENZI WAKO WA ZAMANI

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

Waziri Mkuu Ashangazwa Na Kodi Kubwa Soko La Dodoma.....Aagiza Baraza La Madiwani Lipitie Upya Na Kumpa Majibu