RAHA ZA PWANI YAFANYIKA DMV

 Bi. Grace Mgaza Sebo akiongoza mchezo wa bahati nasibu iliyofanyika leo Ijuamaa kwenye tamasha la Raha za Pwani iliyofanyika katika hoteli ya Hampton Inn College Park, Maryland  na kuhudhuriwa na wadau wa miziki hiyo wakiongozwa na Dj Moe. Picha na Vijimambo na Kwanza Production.
 Mtoto Aaliyah akichanganya tiketi za bahati nasibu kusudi ya kutangazwa mshindi.
 Mtoto Allan akijiandaa kumtangaza mshindi wa kwanza aliyeamka na bahati usiku huo wa Raha za Pwani.
 Rose Millinga (kushoto) akiibuka mshindi wa kwanza akikumbatiana na Bi. Grace Mgaza Sebo moja ya waandaji wa tamasha la Raha za Pwani iliyofanyika siku ya Ijumaa March 31, 2017 katika hotel ya Hampton Inn College Park, Maryland nchini Marekani.
 Rose Millinga akiwa na zawadi yake katika picha ya pamoja na waandaji wa tamasha la Raha za Pwani  kushoto ni Bi. Grace Mgaza Sebo na kulia ni Steven Mgaza. Wapili toka kushoto ni mtoto Aaliyah.
Mratibu wa Raha za Pawani Bw. Steven Mgaza akimpongeza mshindi wa kwanza wa bahati nasibu Rose Millinga.
 Bw. Steven Mgaza akimpongeza mshindi wa pili wa bahati nasibu Bw. Kofi Adwin Adisa X ambaye ni mpiga kinanda anayependa nyimbo za kiafrika.

Comments

Popular posts from this blog

ZINGATIA HAYA UKITAKA KURUDIANA NA MPENZI WAKO WA ZAMANI

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

Waziri Mkuu Ashangazwa Na Kodi Kubwa Soko La Dodoma.....Aagiza Baraza La Madiwani Lipitie Upya Na Kumpa Majibu