Nyoka anatumika kwa sababu ya maisha halisi ya mnyama huyu ambaye baada ya muda katika maisha yake huwa anavua gamba na kuota tena kuwa kitu kipya; maana yake ni maisha mazuri, maumivu wakati wa kuvua gamba na uponyaji wakati anapoendelea na maisha ya baadaye. Kwenye huduma za matibabu na baadhi ya majeshi utaona fimbo iliyozungukwa na nyoka, utaweza kuikuta kwenye hospitali karibu zote, huduma zote za afya na sehemu nyingine nyingi fimbo hii ni alama ya Kigiriki iliyotumika kwa maelfu ya miaka inaitwa Rod of Asclepius au Staff of Asclepius. Ni fimbo ya Mungu wa Kigiriki anayeitwa Asclepius anayehusishwa na mambo ya uponyaji na matibabu. Aesculapia ni nyoka waliokuwa wanatumika katika mahekalu ya kutolea matibabu, nyoka hawa walikuwa huru katika vyumba vya wagonjwa waliokuwa wamelazwa ndani toka mwaka 300. Lakini kwa tamaduni za Wahindu suala hili limeenda mbali zaidi katika kueleza mfumo wa vyakula, maisha, matibabu ya asili na mengine mengi. Sehemu kama Thailand nyoka...
Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Mahmoud Kambona wa tatu kulia akiwa anaonyeshwa moja ya madini ya vifo yalioletwa katika maonyesho ya wafanyabiashara wa ndani wa madini hayo yaliyofanyika ndani ya mji mdogo wa mirerani mkoani Manyara Mmoja kati ya wachimbaji wa madini ya Tanzanite Saniniu Laizer akiwa anaonyesha jiwe la Tanzanite ambalo lipo tayari kuuzwa Idha benki ya NMB ilimefungua rasmi tawi katika mji huu ndogo wa mererani hapa meneja wa mji mdogo wa benki hiyo akiwa anamueleza mkuu wa wialaya pamoja na wananchi waliouthuria semina hiyo huduma ambazo wanazitoa benki hiyo ndani ya mji mdogo wa mirerani Mkuu wa wilaya akiwa anakata utepe hii ikiwa ni ishara ya kufunguliwa rasmi kwa maonyesho hayo ya vito na madini Wafanya biashara wakubwa ambao ni wa pili kulia ni mkurugenzi wa kampuni ya Jacaranda Holding DR,Antony Haj Frisby akiwa na mwenzake wanachagua madini ya vito kwa ajili ya kuyanunua ambapo alisema kuwa maonyesho haya ...
Kabla ya kuanza makala hii, ni muhimu kujua kwamba kucha zetu ni muhimu sana kwa miili yetu! Kwa sababu kucha zinabeba dalili mbalimbali za magonjwa , ikiwa ni pamoja saratani. Je umeona sehemu ya chini ya kucha yako, ipo kama mwezi nusu, sehemu hiyo inaitwa lunula, kwa kweli ni eneo la muhimu sana na unapaswa kuhakikisha halipati uharibifu wa aina yeyote ile. Hapa tunakwenda kuelezea mambo matano ya muhimu kujua kuhusu lunula: 1.Sehemu hii inonekana nyeupe,ni basal layer ya tano ya epidemis ambayo inaziba mishipa ya damu ambayo ipo chini. 2.Sehemu hii ya kucha inayoitwa lunula ni mzizi wa kucha na endapo ikiharibika au kuumia kwa namna yeyote ile, basi kucha yote itatoka. 3.Wataalamu wengi duniani kote wamegundua kwamba lunula inaeleza vizuri afya ya binadamu kwa ujumla. Kwa mfano, tiba za jadi za kichina wanaamini kwamba upungufu wa lunula inaonyesha dalili ya upungufu wa damu au utapiamlo, wakati pale au rangi ya blue ya lunula inaonyesha dalili ya ugonjwa wa kisukari. K...
Comments
Post a Comment