Posts

Showing posts with the label AJIRA

Tangazo la Nafasi za Kazi Wizara ya Afya...... Wanahitajika Watu 192, Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 6 Juni

Image

TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI

Image
Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF ) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga. Asasi hii  inajishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo Utafiti,Utetezi wa Haki za Binadamu,Kutoa Elimu ya Uraia,kutoa msaada kwa makundi mbalimbali wakiwemo watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu/Hatarishi,Yatima,wajane,Wazee pamoja na Mazingira. Mkurugenzi wa Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF ) yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga anatangaza nafasi za Kazi zifuatazo: 1.        Mtaalamu wa kuandika andiko la Mradi (Proposal) 2.        Meneja Mradi,(Project Manager ) 3.        Mtaalamu wa  Kompyuta ( Computer IT ) Sifa: 1.        Mwombaji awe ni Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. 2.        Awe Tayari kujitolea. 3. ...

Nafasi za Kazi Tumaini University

Image

Nafasi Mbalimbali za Kazi Toka Benki ya NMB....Mwisho wa Kutuma Maombi ni Tarehe 4 Mwezi wa 5

Image
 ; Jedwali  hapo chini linaonyesha nafasi mbalimbali toka Benki ya  NMB. Kwa maelezo zaidi kuhusiana na nafasi hizo tembelea website yao:www.nmbtz.com  

Nafasi za Kazi Iringa Urban Water Supply ( IRUWASA )

Image

Tangazo la Nafasi ya Kazi.....Anahitajika Administrative Officer

Image

Serikali yaandaa mpango wa ajira kwa vijana nchini

Image
Serikali imeanzisha mpango maalumu wa mafunzo kwa wahitimu kutambua ujuzi katika sekta zisizo rasmi, ili kuwajengea vijana wigo mpana wa ajira kwa fani walizosomea. Mpango huo unalenga kutoa mafunzo ya ufundi katika fani mbalimbali kwa vijana walioishia darasa la saba, kidato cha nne au sita na wanaohitimu vyuo mbalimbali. Lengo ni kuwawezesha vijana kupata ajira na waajiri nao kupata watu wenye ujuzi wa kutosha. Akizungumzia mpango huo juzi, Mkurugenzi Msaidizi wa Huduma za Ajira Ofisi ya Waziri Mkuu, Robert Masingiri alisema changamoto kubwa kwa vijana ni ukosefu wa ajira hasa wanaomaliza shule bila kuwa na fani yoyote. Masingiri alisema baada ya Serikali kuona upungufu huo, imeandaa mpango maalumu unaofadhiliwa na Shirika la Kazi Duniani (ILO) ili kutoa mafunzo kwa vitendo kwa wanafunzi na wahitimu wa vyuo mbalimbali. “Licha ya kutoa mafunzo hayo, tutatambua ujuzi uliopatikana kwa mfumo usio rasmi. Tutawapa wataalamu hao baada ya kukaa nao na kuona uwezo w...

NAFASI ZA KAZI

Image
Clinovet Marketing & Communication Co. Ltd (Climac),  a Tanzania registered Company dealing with all kinds of below-mentioned Line Activities like Sales and Marketing Promotion, Advertising, Merchandising, ICT Solutions, Digital and Social, is seeking a qualified Lady in Client Service.   Position: Client Services Manager The Client Services Manager is self-motivated, dependable, well-organized, adaptable, flexible, Resourceful, computer savvy, and detail oriented with strong written & verbal communications skills and the ability to balance multiple priorities. A “can do” attitude is required and the Individual must be able to work in a fast-paced, challenging, energetic environment. Responsibilities o Manage project costs, budgets and client expectations o Anticipate and make recommendations for client needs. o Be exceptionally responsive to all client requests. o Understanding the client’s needs and the internal resources available to you throughout the production ...

JOB VACANCIES AT DUWASA-DODOMA

Image
Dodoma Urban Water Supply and Sanitation Authority (DUWASA) was established under section 3(I) of Cap. 272 of 1997 as repealed by section 60 of Water Supply and Sanitation Act No. 12 of 2009. DUWASA is charged with the overall responsibility of operations and management of water supply and sanitation services in Dodoma urban within the Municipality. Applications are invited from suitably qualified, dynamic, experienced and performance driven Tanzanians, male and female, to fill the following positions: JOB TITLE:   Commercial Manager REPORTS TO:  Managing Director JOB PURPOSE:  To maintain customer records and follow up customer bills to ensure customers who get water, are correctly billed and pay for the water they have consumed at the right time. REQUIRED QUALIFICATIONS: ·     Academic Qualification : Holder of a Master’s Degree in Business Administration or equivalent from a recognized institution with relevant work experience...