TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI


Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF ) ni Asasi ya Kiraia yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga.


Asasi hii  inajishughulisha na shughuli mbalimbali za kijamii ikiwemo Utafiti,Utetezi wa Haki za Binadamu,Kutoa Elimu ya Uraia,kutoa msaada kwa makundi mbalimbali wakiwemo watoto wanaoishi katika Mazingira Magumu/Hatarishi,Yatima,wajane,Wazee pamoja na Mazingira.

Mkurugenzi wa Shinyanga NguvuKazi Development Foundation ( SNDF ) yenye Makao Makuu yake Wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga anatangaza nafasi za Kazi zifuatazo:
1.      Mtaalamu wa kuandika andiko la Mradi (Proposal)
2.      Meneja Mradi,(Project Manager )
3.      Mtaalamu wa  Kompyuta ( Computer IT )

Sifa:
1.      Mwombaji awe ni Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
2.      Awe Tayari kujitolea.
3.      Awe na Uzoefu usiopungua miaka mitatu akiwa ameajiriwa na taasisi za Umma/Binafsi.
4.      Awe mwaminifu.

Kwa Maelezo zaidi wasiliana na:

Antony  Johnson
+255 762 117  117
+255 785 118 118
            antonysollo5@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

DC AWAAGIZA WALIOVAMIA EPZA WAONDOKE.

Je Umewahi Kujiuliza Mwezi nusu Kwenye Kucha yako Una Maana Gani? Jibu lake ni Muhimu Kuliko Unavyofikiria!