PICHA ZA MATUKIO YANAYOENDELEA KWENYE SEMINA YA MAISHA YA THAMANI NDANI YA AJTC


Kikundi cha MAISHA YA THAMANI kinacholenga kutoa elimu kwa jamii ya kitanzania inayoratibiwa na Bw Fedinand Shayo, kinatoa elimu ya Maisha kwa wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha AJTC.


Mkurugenzi wa Mafunzo katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji Arusha.Bw Joseph Mayagila Akitafakari jambo.

Mtangazaji wa Redio Five 5, Bw Godfrey Thomas akizungumza na wanafunzi wa AJTC

Wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa habari na utangazaji Arusha,Wakisikiliza mafunzo kutoka kwa wageni wao...MAISHA YA THAMANI


Wakufunzi wa Chuo cha uandishi wa Habari na utangazaji Arusha Bw Andrea ngobole kutoka kushoto,na Mwl Elihuruma Chao ...kulia


Mkufunzi wa AJTC Bw Andrea Ngobole akizungumza na wanafunzi kwenye Semina ya MAISHA YA THAMANI



Bw Proti Profit Manga akitoa elimu ya maisha kwa wanafunzi wa AJTC




Bi Hellen akitoa elimu kwa wanafunzi wa chuo cha Uandishi wa Habari na Utangazaji Arusha

Bw Fedinand Shayo Mratibu wa MAISHA YA THAMANI. 

Comments

Popular posts from this blog

ZINGATIA HAYA UKITAKA KURUDIANA NA MPENZI WAKO WA ZAMANI

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

Waziri Mkuu Ashangazwa Na Kodi Kubwa Soko La Dodoma.....Aagiza Baraza La Madiwani Lipitie Upya Na Kumpa Majibu