JEURI NYINGINE YA FEDHA YA MAYWEATHER, ATUPIA VIDEO AKIWA NA MABULUNGUTU YA PESA

         391516d700000578-3820962-image-m-5_1475564729197

Bondia wa ngumi za kulipwa duniani Floyd Mayweather hajawahi kuonea aibu suala la utajiri wake baada ya kutengeneza ‘headlines’ tena kwenye vyombo vya habari tena wakati huu ikiwa ‘too much’

Mwanamasumbwi huyo raia wa Marekani alitupia mtandaoni kipande kifupi cha video akiwa ameketi huku mbele yake ikionekana meza iliyojaa mabulungutu ya pesa kiasi cha dola milioni moja sawa na bilioni mbili mia moja sitini na nane laki mbili na nusa za kitanzania

Inaelezwa Mayweather alikuwa jijini Las Vegas katika tamasha ambalo lilimhusu msanii Lil Kim ambapo alitumia nafasi hiyo kumwaga manoti jukwaani wakati Kim alipokuwa akiimba wimbo wa ‘get money’


Comments

Popular posts from this blog

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

DC AWAAGIZA WALIOVAMIA EPZA WAONDOKE.

Je Umewahi Kujiuliza Mwezi nusu Kwenye Kucha yako Una Maana Gani? Jibu lake ni Muhimu Kuliko Unavyofikiria!