Kabla ya kuanza makala hii, ni muhimu kujua kwamba kucha zetu ni muhimu sana kwa miili yetu! Kwa sababu kucha zinabeba dalili mbalimbali za magonjwa , ikiwa ni pamoja saratani. Je umeona sehemu ya chini ya kucha yako, ipo kama mwezi nusu, sehemu hiyo inaitwa lunula, kwa kweli ni eneo la muhimu sana na unapaswa kuhakikisha halipati uharibifu wa aina yeyote ile. Hapa tunakwenda kuelezea mambo matano ya muhimu kujua kuhusu lunula: 1.Sehemu hii inonekana nyeupe,ni basal layer ya tano ya epidemis ambayo inaziba mishipa ya damu ambayo ipo chini. 2.Sehemu hii ya kucha inayoitwa lunula ni mzizi wa kucha na endapo ikiharibika au kuumia kwa namna yeyote ile, basi kucha yote itatoka. 3.Wataalamu wengi duniani kote wamegundua kwamba lunula inaeleza vizuri afya ya binadamu kwa ujumla. Kwa mfano, tiba za jadi za kichina wanaamini kwamba upungufu wa lunula inaonyesha dalili ya upungufu wa damu au utapiamlo, wakati pale au rangi ya blue ya lunula inaonyesha dalili ya ugonjwa wa kisukari. K...
Comments
Post a Comment