IDADI YA WATU WALIOFARIKI BAADA YA KUNYWA SABUNI WAKIDHANIA NI POMBE YAONGEZEKA

Idadi ya watu waliofariki baada ya kunywa sabuni wakidhania ni pombe imefikia watu 58 kutoka 49 kulingana na vyombo vya habari nchini Urusi, Wengi wa watu 37 walioathirika bado wanaendelea kutibiwa huku wengine wakiwa katika hali mahututi._93058092_russialiquidsoap

Raia hao walikunywa maji ya sabuni yaliokuwa na sumu kali wakidhania ilikuwa pombe kulingana na kamati ya uchunguzi ya Urusi,lakini maji hayo yalikuwa na kemikali ya Ethanol inayoweza kusababisha upofu.

Comments

Popular posts from this blog

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

DC AWAAGIZA WALIOVAMIA EPZA WAONDOKE.

Je Umewahi Kujiuliza Mwezi nusu Kwenye Kucha yako Una Maana Gani? Jibu lake ni Muhimu Kuliko Unavyofikiria!