Rais wa Mexico afuta ziara yake Marekani


Rais Enrique Pena Nieto wa Mexico kushoto na mwenzake wa Marekani Donald Trump kuliaHaki miliki ya pichaAFP
Image captionRais Enrique Pena Nieto wa Mexico kushoto na mwenzake wa Marekani Donald Trump kulia

Rais wa Mexico Enrique Pena Nieto amefuta ziara yake ya kuenda nchini Marekani wiki ijayo kukutana na rais Donald Trump.
Hatua hii inakuja siku moja baada ya bwana Trump kutangaza mpango wake wa kujenga ukuta kwenye mpaka kati ya Mexico na Marekani.
Trump pia alisisitiza kuwa kuwa gharama ya ujenzi wa ukuta huo italipwa na Mexico ambayo tayari imepinga vikali.
Wabunge wa Senate wanasema kuwa bungea la Marekani litaendelea na mpango huo ambao ukadiriwa kuwa utagharimu dola bilioni 12.

Comments

Popular posts from this blog

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

DC AWAAGIZA WALIOVAMIA EPZA WAONDOKE.

Je Umewahi Kujiuliza Mwezi nusu Kwenye Kucha yako Una Maana Gani? Jibu lake ni Muhimu Kuliko Unavyofikiria!