WAZIRI WA MAMBO YA NDANI AJIUZULU UFARANSA

Waziri wa mambo ya ndani ufaransa bwana Bruno Le Roux amejiuzulu kufuatia kuibuka shutuma juu nyake kuwa aliwatafutia mabinti wake wawili kazi  katika bunge wakati wakiwa wanafunzi 
 Inasemekana alfanya hvyo kati ya mwaka 2009 na 2016 .Waendesha mashtaka walifanya uchunguzi wa awali kuhusu mikataba yenye thamani ya karibu dola elfu sitini ambazo bwana Le Roux aliwapa binti zake
Amesema hakuna sheria ya bunge iliyokiukwa na watoto wake walifanya kazi kwa uhalali, lakini hakutaka kuwa kikwazo kwa Serikali
Bwana Roux amekua waziri wa mambo ya ndani tokea  6 December 2016 mpaka 21 march 2017


Comments

Popular posts from this blog

ALAMA YA NYOKA KWENYE NEMBO MBALIMBALI INA MAANA KUBWA

DC AWAAGIZA WALIOVAMIA EPZA WAONDOKE.

Je Umewahi Kujiuliza Mwezi nusu Kwenye Kucha yako Una Maana Gani? Jibu lake ni Muhimu Kuliko Unavyofikiria!